Ibada ya misa takatifu pdf6/12/2023 ![]() Kwa njia yake wakleri, watawa na waamini wote wa Yesu wa madhehebu hayo wanaungana naye katika sala yake ya kudumu, na wanasaidiwa kuishi kitakatifu saa zote za siku kwa kumkumbuka Mungu mara kwa mara. Liturujia ya Vipindi ni sala rasmi ya Kanisa kama inavyoadhimishwa katika madhehebu mbalimbali ya Ukristo, lakini ni jina hasa la mpangilio unaofuatwa na Kanisa la Roma baada ya Mtaguso wa pili wa Vatikano (kwa Kilatini jina ni Liturgia Horarum). ![]() Liturujia ya Ugiriki Liturujia ya Antiokia Liturujia ya Kilatini ( Roma Liturujia ya Trento Milano Toledo Braga Lyon Canterbury) ![]() Breviari binafsi ya malkia wa Uskoti Mary Stuart, aliyokwenda nayo siku ya kuuawa kama alivyohukumiwa na dada yake Elizabeti I wa Uingereza.
0 Comments
Leave a Reply. |